Portada

KIJANA ALIYEUZA HEKIMA IBD

PHOENIX PUBLISHERS
07 / 2022
9789966472427

Sinopsis

Kipi cha muhimu zaidi duniani? Pesa? Nyumba kubwa ama gari kubwa? Katika mojawapo ya ngano katika mkusanyiko huu, kutana na kijana ambaye anauza bidhaa zisizoonekana...Kijana Aliyeuza Hekima ni mkusanyiko wa ngano kutoka pembe nyingi za dunia ambazo zimehadithiwa kwa njia ya kipekee inayozipa mvuto wa aina yake.

PVP
26,99